Kiswahili: Matukio mbalimbali katika kuaga miili ya wanafunzi 32 na wafanyakazi watatu wa shule ya Lucky Vincent ambao wamefariki dunia tarehe 6 Karatu, ambako walikuwa njiani kuelekea kwenye mtihani wa ujirani mwema na wenzao wa Karatu Junior. Tukio hili limefanyika uwanja wa kumbukumbu ya \sheikh Amri Abeid Karume Jijini Arusha Jumatatu tarehe 8 Mei 2017 na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kisiasa na wa kiroho, wakiongozwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.
English: Various incidents in the farewell of the bodies of 32 students and three Lucky Vincent school staff who died on 6 Karatu, where they were on their way to a good neighborly exam with their Karatu Junior classmates. The event was held at the Sheikh Amri Abeid Karume Memorial Stadium in Arusha on Monday 8 May 2017 and was attended by various political and spiritual leaders, led by the Vice President, Samia Suluhu Hassan.
ייחוס – יש לתת ייחוס הולם, לתת קישור לרישיון, ולציין אם נעשו שינויים. אפשר לעשות את זה בכל צורה סבירה, אבל לא בשום צורה שמשתמע ממנה שמעניק הרישיון תומך בך או בשימוש שלך.
שיתוף זהה – אם תיצרו רמיקס, תשנו, או תבנו על החומר, חובה עליכם להפיץ את התרומות שלך לפי תנאי רישיון זהה או תואם למקור.